Usajili wa mkutano wa BDBA 2019 ni bure.

Mda uliobaki hadi Mkutano

Day(s)

:

Hour(s)

:

Minute(s)

:

Second(s)

#Mkutanowavijana BDBA 2019

 

Vijana kutoka nchi mbali mbali za Afrika watakusanyika Gauteng,Afrika Kusini kwa ajili ya mkutano mkubwa na mada

Kurudisha ahi ya Afrika

Dhima kuu ya mkutano ni wito kwa Vijana wa kiafrika kuchukua hatua juu ya kurudisha hadhi ya afrika katika maswala ya kiutambulisho, utamaduni, urithi, uwelewa katika mfumo na rasilimali. Mkutano utahimidha wajumbe kutambua uwezo wao na kutumia fikra zao katika kuchagua kuwa mwanaharakati wa mabadiliko ya kurudisha afrika.

Tunapoongelea kuvunja mipaka, tunavunja ile mipaka inayotuzuia tusiweze kushirikiana. Mipaka inayotuzuia tusiseme ukweli kwa watawala, mipaka inayotuzuia tushindwe kutumia rasilimali, na mipaka inayozuia kuongeza uwezo wetu.

Kuwa hapa leo ni Baraka kwa tutashirikiana na kufanya kazi pamoja kwakua huo ndio uwelewa wa kuvunja mipaka ya Afrika 

– Vivian Onano

Host province –

Gauteng,

South Africa

UNDA, JIFUNZE, UNGANISHA  

The breaking down border initiative ni jukwaa la Vijana linaloongozwa na Vijana wa kiafrika kwa manufaa ya Vijana wa kiafrika. Wazo la kuanzisha harakati  imetiwa hamasa na maono ya kutengeneza  jukwaa linalojumuisha Vijana wa kiafrika katika kuandika afrika mpya na kukuza na kubadilishana ujuzi wa kimaendeleo kati ya Vijana wa kiafrika.

.

Follow us on social